Katika viunga vya jiji la Dar es salaam jana kulikuwa na hekaheka za watu waishio maeneo mbalimbali yakiwemo ya Gongo la mboto kuyanusuru maisha yao kutokana na kulipuka kwa mabomu katika ghala namba tano katika kambi iliyopo gongo la mboto katika jiji hilo.
Juu Mnazimu wa jeshi akiwataka wananchi kukimbilia katika maeneo ya wazi kujinusuru na kadhia hiyo na picha zingine ni majeruhi mbalimbali katika hospitali mbalimbali wakipatiwa huduma.
No comments:
Post a Comment