Jk akikagua soko la mazao la Kibaigwa dodoma. na chini
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na wafanyabiashara na wananchi katika soko la Mazao la Kibaigwa lililopo wilaya ya Kongwa,mkoani Dodoma leo asubuhi wakati aliposimama kwa muda sokoni hapo kukagua na kujionea hali halisi ya upatikanaji wa mazao na uhifadhi wa mazao sokoni hapo.Mwaka 2006 wakati wa ziara yake katika soko hilo Rais alitoa agizo la kutoanika mazao chini ili kulinda afya ya mlaji.Agizo hili limetekelezwa vyema na sasa mazao yanahifadhiwa vyema kuzingatia kanuni za afya.
No comments:
Post a Comment