Ninafurahi kwa kutembelea kwako katika Blog yangu.
===========================================
Kupata matukio yote Bonyeza kiungia cha HOMEkilichpo chini ya Blog hii.
Wednesday, February 9, 2011
Mechi ya Kirafiki kati ya Tanzania na Pakistani
Juu ni wachezajiwa Timu ya pakistani ambao watacheza mchezo wao wa kirafiki na timu ya Taifa ya Tanzania. Chini ni Kocha wa timu ya Taifa Stars akiwa mazoezini na wachezaji wake tayari kwa matayarisho kwa mchezo wao wa leo na Pakistani.
No comments:
Post a Comment