Baada ya mvua kubwa kunyesha katika viunga vya jiji la Dar imepelekea miundo mbinu mbalimbali ikiwemo barabara na nguzo za umeme kuharibika, Na mafundi wa Tanesco wakiendelea na harakati za kuinua baadhi ya nguo hizo zilizokuwa zimeangukia barabarani.
No comments:
Post a Comment