K A R I B U N I W O T E
Ninafurahi kwa kutembelea kwako katika Blog yangu.
===========================================
Kupata matukio yote Bonyeza kiungia cha HOME kilichpo chini ya Blog hii.
===========================================
Kupata matukio yote Bonyeza kiungia cha HOME kilichpo chini ya Blog hii.
Friday, February 4, 2011
Timu ya simba yafanya kufuru
Timu ya Simba ya jijini Dar imeongeza harakati za kugombania nafasi ya kwanza katika ligi kuu ya Tanzania bara ya vodacom. Hapa mshambuliaji wa Simba,Mussa Hassan'Mgosi' akiwania mpira na beki wa African Lyon ,Hamis Yusuf wakati wa mechi ya Ligi Kuu Tanzania Bara iliyofanyika kwenye Uwanja wa Uhuru,Dar es Salaam.Simba ilishinda mabao 3-0
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment