K A R I B U N I W O T E

Ninafurahi kwa kutembelea kwako katika Blog yangu.

===========================================

Kupata matukio yote Bonyeza kiungia cha HOME kilichpo chini ya Blog hii.



















Friday, February 25, 2011

Jengo la Tanesco na Mitambo ya Dowans

Juu ni Jengo la Shirika la umeme la Tanzania ambalo lipo katika mzozo na serikali baada ya waziri wa ujenzi Mh. J. P. Magufuli kuamuru kubomolewa kwa majengo yote ambayo yapo katika hifadhi ya barabara.
Chini ni wanakamati ya wizara ya nishati wakiangalia baadhi ya mitambo ya dowansi ambayo hipo katika mvutano na wamiliki wake na serikali kwa kudai fidia ya kutumia mitambo hiyo katika kuzalisha umeme.


No comments:

Post a Comment