Wafuasi wa Chama cha Demokrasi na Maendeleo wakishiriki katika maandamano yalifanyika na na viongozi wa chama hicho cha Siasa mkoani mwanza. Maandamano ambayo yalifanyika kwa Amani na Utulivu ambapo katika mkutano wao viongozi hao walielezea kero mbalimbali ikiwemo sakata la Dowans, Maandamano ya arusha na Mgao wa Umeme na mengineyo mengi.
No comments:
Post a Comment