K A R I B U N I W O T E

Ninafurahi kwa kutembelea kwako katika Blog yangu.

===========================================

Kupata matukio yote Bonyeza kiungia cha HOME kilichpo chini ya Blog hii.



















Friday, February 25, 2011

Vituko vya Maisha


Juu ni Pedeshee fulani akikatiza katika viunga vya jiji la Dar es Salaam akiwa na biashara yake ya Kahawa kuwapitishia wateja wake.
Chini ni ubunifu wa namna mojawapo ya uchukuzi kwa njia ya baiskeli. na hii ni namna gani taswira inavyoonyesha hali ya maisha ya watu nchini.

No comments:

Post a Comment