Aliyekuwa Rais wa Zambia Mh. R. Banda akibubujikwa na machozi mara baada ya hotuba yake kwa waandishi wa habari ya kukubali kushindwa katika uchaguzi wa raisi wa nchi hiyo na pembeni yake ni mkewe Banda.
Rais Banda enzi za uongozi wake alikuwa anasalimiana na Rais wa Tanzania J. Kikwete.
Makamu wa raisi wa Tanzania kulia akisalimiana na Raisi wa Malawi Mh. Bingu wa Mutharika wakiwa katika sherehe za kuapishwa kwa Raisi mpya wa Zambia.
Makamu wa Raisi wa Tanzania akisalimiana na Raisi wa zamani wa Zambia Banda wakati wa sherehe za kuapishwa kwa raisi mpya wa nchi hiyo.
No comments:
Post a Comment