K A R I B U N I W O T E

Ninafurahi kwa kutembelea kwako katika Blog yangu.

===========================================

Kupata matukio yote Bonyeza kiungia cha HOME kilichpo chini ya Blog hii.



















Friday, June 15, 2012

Tuzo ya wanamichezo Bora

Raisi mstaafu wa Tanzania Mh. Ali H. Mwinyi akiwa mgeni rasmi katika utoaji wa tuzo kwa wanamichezo Bora wa mwaka 2011 katika ukumbi wa Diamond jubilee.

Baada ya Kusoma Hotuba

Waziri wa fedha akipongezwa na wafanyakazi wa ofisi yake baada ya
 kumaliza kwa kusomwa kwa Hotuba ya Bajeti 2012/2013

Waziri wa fedha na waandishi

Waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali nami nikiwemo ktk kupata picha na Waziri wa fedha pamoja na Naibu wake nje ya viwanja vya bunge katika usomaji wa Hotuba ya Bajeti ya 2012/2013

Waziri wa fedha

Waziri wa Fedha wa Tanzania akiwa ameambatana na Naibu wake wakiingiza
 katika viwanja vya Bunge tayari kwa kusoma Bajeti ya 2012/2013

Kiongozi wa kambi ya Upinzani Bungeni


Kiongozi wa kambi ya upinzania bungeni Mh. F. Mbowe akimuuliza waziri mkuu
katika utaratibu aliojiwekea wa kuulizwa maswali ya papo kwa papo.

Mtoto RUKIA AFARIKI DUNIA

Hatimae yule mtoto Rukia alielazwa katika hospitali ya Nyangao
baada ya kuungua moto afariki dunia

Tuesday, June 12, 2012

Kesi ya Muigizaji LULU

Hatimae vielelezo vya umri wa msanii Elizabeth Maiko (Lulu)
 kuwasilishwa mahakamani.

Uteuzi wa mabalozi




Raisi akiwaapisha mabalozi kumi aliowateua
Raisi akiwa na mabalozi aliowateua

Rambirambi za Marehemu Bob Makani

viongozi wa kitaifa katika msiba wa Bob makani
Viongozi wakiwasili katika viwanja vya karimjee
Raisi wa Tanzania akimpa pole katibu mkuu wa Chadema Dr. Slaa 
katika viwanja hivyo vya karimjee dsm.



Ajari ya helkopta - Kenya

Hivi ndivyo ilivyokuwa katika Ajari huko Kenya ambapo 
Mh. Saitoti na wenzake walivyopoteza maisha.
Serikali ya Kenya imetangaza siku tatu za maombelezi kufuatia
 msiba huo mkubwa na bendera zitapepea nusu mlingoti.

Friday, June 8, 2012

Kutiliana saini ya Mkataba




Katibu Mkuu wa wizara ya Mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa,
 Bw. John Haule (Kulia) akiwa na Balozi wa ujerumani hapa nchini wakisaini
Mkataba kwa niaba ya serikali zao.

BREAKING NEWSSSSSSSSSSSSSS

Aliye wahi kuwa Kocha wa Timu ya Taifa ya Tanzania Marcio Maximo inasemakana hivi karibuni atakuja nchini kuwa kocha wa Timu ya YANGA.

MAGAZETI

















HIVI NDIVYO YASEMAVYO MAGAZETI YA LEO

Wanafunzi

Kuwatumikisha watoto wa shule namna hii kuna muda wa masomo?

Waziri

Waziri wa nchi ofisi ya makamu wa raisi mazingira,  akizungumza na kamati ya bunge mazingira

Balozi wa Canada

Raisi wa Tanzania akiagana na balozi wa Canada Ikulu

Monday, September 26, 2011

Ajari Ajari

Ajari mbaya ya lori iliyotokea mkoani mbeya na kusababisha vifo vya watu takribani 14 ambao walikufa katika ajari hiyo na kuwaacha wengine kuwa majeruhi.

Taarab

Wasanii wanaounda kundi jipya la muziki wa Taarab (T-Moto) wakiwa Studio za Makunde production Kinondoni Jijini Dar katika kuandaa nyimbo zao mpya

Raisi wa Zanzibar

Rais wa Zanziba Mh. Dkt Shein akifungua Sekondari ya Wamanakayama hivi karibuni.

Rais wa Tanzania New York - Marekani

Rais J. Kikwete akihutubia katika mkutano wa 66 wa Umoja wa mataifa - New York Marekani.
Raisi Kikwete akisalimiana na kiongozi wa Serikali ya mpito ya Libya Bwana Mustafa Abdel-Jalil wakiwa new york marekana walipokutana katika mkutano wa 66 wa U/Mataifa.
Aliyekuwa Rais wa Zambia Mh. R. Banda akibubujikwa na machozi mara baada ya hotuba yake kwa waandishi wa habari ya kukubali kushindwa katika uchaguzi wa raisi wa nchi hiyo na pembeni yake ni mkewe Banda.
Rais Banda enzi za uongozi wake alikuwa anasalimiana na Rais wa Tanzania J. Kikwete.
Makamu wa raisi wa Tanzania kulia akisalimiana na Raisi wa Malawi Mh. Bingu wa Mutharika wakiwa katika sherehe za kuapishwa kwa Raisi mpya wa Zambia.
Makamu wa Raisi wa Tanzania akisalimiana na Raisi wa zamani wa Zambia Banda wakati wa sherehe za kuapishwa kwa raisi mpya wa nchi hiyo.

RC - Mwambungu

RC mpya wa Ruvuma akipokelewa kwa kusalimiana na baadhi ya wafanyakazi wa ofisi yake hiyo mpya

RC - Ruvuma

RC mpya wa Mkoa wa Ruvuma akikabidhiwa ofisi na aliyekuwa mkuu wa mkoa huo wa Ruvuma Dkt Ishengoma.

Friday, June 10, 2011

Bajeti ya Tanzania

Waziri wa Fedha na Uchumi Mheshimiwa Mustapha Mkullo akiwa amebeba na kuonyesha mkoba wenye bajeti ya Tanzania kwa mwaka 2011/2012 Mjini dodoma.

Wabunge

Mbunge wa Kigoma Kaskazini mheshimiwa Zitto Zuberi Kabwe akiwa na wabunge wenzake katika viwanja vya bunge mjini dodoma hivi karibuni ambapo wabunge wapo huko kuhudhuria vikao vya bunge la bajeti linaloendelea.

Museveni

Waziri Mwandosya akiwa na mwenyeji wake Rais wa Uganda Yoweri K. Museveni.

Migiro




Naibu Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Dr. Asha Migiro akiwa na baadhi ya wawakilishi kutoka Tanzania katika Mkutano huo wa umoja wa Mataifa.



Makamu wa Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzani katika mkutano wa umoja wa mataifa.





Makamu wa Rais

Makamu wa Rais Mheshimiwa Dr. Bilali akiwa na Katibu Mkuu wa umoja wa mataifa

Thursday, March 10, 2011

Kupanda kwa Nauli za Usafiri

Karibu wiki moja sasa tokea wameliki pamoja na sumatra kuridhia kupanda kwa gharama za usafiri nchi

Raisi J. Kikwete awasili Addis Ababa

Jk akipokelewa na mwenjeji wake.

Kwa jukumu la kutafuta suluhu ya mgogoro wa kisiasa katika nchi ya Afrika Magharibi ya Ivory Coast,katika hatua za mwisho za jitihada za kujaribu kumaliza mgogoro huo.



Pikipi za gurudumu tatu zikizinduliwa

Waziri wa afya akijaribu moja ya pikipiki zilizonunuliwa na serikali kwa ajiri ya kusaidia wagonjwa nchini
Moja wapo ya pikipiki hizo




wafanyakazi wa wizara ya afya wakimtayarisha mgonjwa katika pikipiki hizo







Dawa inayotibu magonjwa sugu ikiwemo Ukimwi

Mchungaji Ambakisiye akitoa dozi ya kikombe kimoja kwa watu mbalimbali wanaosumbuliwa na magonjwa sugu
Mchungaji akitoa maelezo kwa watu mbalimbali wanasumbuliwa na magonjwa hayo juu ya huduma hiyo ya dawa inayosadikiwa kutibu baadhi ya magonjwa sugu ikiwemo Ukimwi.

Watu mbalimbali wakiwa wamelala baada ya kupatiwa dawa hiyo na mchungaji huyo.

Foleni kubwa na magari yakiwemo yale yanayotumiwa na watalii katika kufuata huduma hizo.

Foleni kubwa ikielekea kwa mchungaji huyo kufuata dawa hiyo inayosemekana kutibu magonjwa sugu.